China imetaja hatua
ya manowari ya Marekani kupita karibu na kisiwa kinachozozaniwa kusinia
mwa bahari ya China kuwa uchokozi mbaya wa kisiasa na kijeshi.
- China yaionya Marekani kuhusu visiwa vinavyozozaniwa
- Ubabe wa China walazimu Japan kurusha ndege zake
Kisa hicho kilitokea muda kabla ya viongozi wa nchi hizo mbili kufafanya mazungumzo ya simu.
Marekani mara kw amara imeionya China dhidi ya hatua yake ya kunyakua visiwa katika maeneo yanayozozaniwea, lakini china inasema inafanya hivyo kuambatana na haki zake.
China inasema kuwa itafanya kila iwezalo kulinda usalama wake.
- Manowari ya Marekani yapita karibu na visiwa vya Uchina
- Trump asema sera ya 'China Moja' itabadilika
Kisiwa hicho kidogo pia kinadaiwa na Vietnam na Taiwan. China imekuwa kwenye mzozo wa umiliki wa maeneo ya bahari na majirani zake kadha miaka ya hivi karibuni.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment