Taarifa za
kusikitisha zimetufikia hivi punde zinasema aliyekuwa jaji wa mahakama
kuu Tanzania amefariki dunia leo hii. Mhe Jaji Upendo Msuya, amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Kairuki. Hakika sisi
sote ni wa Mungu na kwake yeye tutarejea.
No comments:
Post a Comment