Kufuatia mabadiliko ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta
‘EPOCA’ yaliyofanywa hivi karibuni Kampuni ya Vodacom Tanzania imeongeza
muda wa Toleo la Mauzo ya Hisa zake kwa wiki tatu (Muda wa Nyongeza wa
Toleo) kuanzia July 10-28, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment