DODOMA- RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameendelea kuonesha mfano
wa kuigwa kwa vijana na wanasiasa kwa kujikita zaidi kwenye kilimo baada ya kustaafu.
Kwa mujibu wa ukurasa wake wa Twitter, JK ametembelea shamba hilo na
kuandika kuwa; “Nikiwa Dodoma nimepata wasaa wa
kutembelea na kukagua shamba langu la mizabibu. Mwaka huu mavuno yatakuwa
mazuri Insha Allah.”
SHARE
No comments:
Post a Comment