TRA

TRA

Monday, July 24, 2017

Lissu akosa dhamana

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 



IMG-20170724-WA0008.jpg

DAR ES SALAAM- MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemnyima dhamana Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uchochezi inayomkabili kiongozi huyo.
Aidha, kesi hiyo ambayo imesikilizwa kwa mara ya kwanza leo, imeahirishwa hadi Julai 27 mwaka huu.
Katika kesi hiyo, Lissu alikuwa akiwakilishwa na jopo la mawakili 21 wakiongozwa na Fatma Karume na Peter Kibatala huku upande wa Serikali ukiwakilishwa na mawakili watano.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger