Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na madereva
wanaofanya safari zao kati ya Masiwani,Magomeni,Majengo na Raskaone
Jijini Tanga waliogoma kutoa huduma kwa siku nzima wakiishinikiza
Halmashauri kuikarabati barabara wanazozitumia kutokana na ubovu ambapo
Mbunge huyo aliwataka kuendelea shughuli zao wakati kilio chao
kikifanyiwa kazi
Kamanda
wa Kikosi cha Usalama barabarani (RTO)Nassoro Sisiwaya akizungumza
kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akizungumza na waansdishi
wa habari kuhusu namna halmashauri ilivyoweza kulitatua tatizo hilo
mara moja kwa kupitisha greda kuichonga
Kaimu DTO wa wilaya ya Tanga,Imani Raphael akizungumza katika tukio hilo la mgomo wa madereva hao
Kaimu DTO wa wilaya ya Tanga,Imani Raphael akizungumza na madereva hao ambapo aliwataka kuendelea na shughuli zao wakati suala lao likishughuliwa na mamlaka husika
Diwani wa Kata ya Duga (CUF) Khalid Rashid akizungumza katika mgomo huohabari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
SHARE
No comments:
Post a Comment