SHARE
Wednesday, July 5, 2017
Nukuu muhimu kutoka kwa Spika Ndugai
"Kanuni inaeleza kwamba hati ya dharura itakayoletwa na Rais itakuja hati yenyewe, yenye sahihi yake, hati ya dharura imekuja kuna haja ya kulifanyia jambo hili kazi, tulijadiliana na Kamati ya Uongozi tukakubaliana suala hili lisonge mbele" Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment