Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Mej.Gen. Gaudence Milanzi wa akifurahia jambo na
baadhi ya wakurugenzi na waoneshaji nje ya banda la Wizara ya Maliasili
naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya
Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa
mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai
13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam ( Picha na
Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Mej.Gen. Gaudence Milanzi wa akizungumza jana na
baadhi ya Wakurugenzi na waoneshaji nje ya banda la Wizara ya Maliasili
naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya
Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa
mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai
13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salam( Picha na
Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Mej.Gen. Gaudence Milanzi wa akizungumza jana na
Baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili
naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya
Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa
mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai
13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam( Picha na
Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Mwenyekiti wa Bodi ya TTB,
Jaji mstaafu Thomas Mihayo (katikati) akizungumza na Waoneshaji
alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili naUtalii, (wa pili kulia) ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi
(Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi (wa tatu kuli)
akizungumza na Waoneshaji jana alipotembelea banda la Wizara ya
Maliasili naUtalii, Mwenyekiti wa Bodi ya TTB, Jaji mstaafu Thomas
Mihayo (wa pili kulia) akiwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Taifa ya
Utalii, Devotha Mdachi( wa kwanza kulia) (Picha na Lusungu Helela-
Maliasili na Utalii)
Baadhi
ya wananchi wakiwa kwenye lango la bustani ya wanyamapori hai
wakielekea kuwaangalia wanyama kama vile simba , nyati, chui mamba,
chatu pamoja na ndege wa aina mbalimbali. (Picha na Lusungu Helela-
Maliasili na Utalii)
SHARE
No comments:
Post a Comment