• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Saturday, July 22, 2017

Home > > Pamekucha Kombe la Mataifa Bingwa Afrika

Pamekucha Kombe la Mataifa Bingwa Afrika

at 2:16 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

  •  
Kombe la mataifa bingwa Afrika 2019 litafanyika mwezi Juni na Julai shirikisho la soka barani Afrika limethibitisha.

Mchuano huo huwa unafanyika mnamo mwezi Januari na Februari na kusababisha migogoro na vilabu vya Ulaya ambavyo hulazimika kuwatoa wachezaji katikati ya msimu.



Kombe la mataifa bingwa Afrika 2019 litafanyika mwezi Juni na Julai shirikisho la soka barani Afrika limethibitisha

Kinyang'anyiro hicho cha 2019 kitakachoandaliwa Cameroon kitashirikisha timu 24 badala ya 16.

Mabadiliko hayo yalitiwa sahihi na kamati kuu ya CAF katika mkutano uliofanyika mji mkuu wa Rabat. Michuano hiyo imekuwa ikishirikisha timu 16 tangu 1996.

Upanuzi wa mechi hizo unaweza kusababisha matatizo kwa Cameroon ambayo itaanda fainali ijayo, huku waziri wa michezo wa taifa hilo la Afrika ya kati akilazimika kukataa ripoti kwamba maandalizi yalikuwa nyuma.

Mashindano hayo yataendelea kila baada ya miaka miwili barani Afrika. CAF ilikuwa inapanga iwapo itaruhusu mataifa kutoka mabara mengine kushiriki ama hata kuandaa mchuano huo.

Tangazo hilo linajiri kufuatia mkutano wa siku mbili ulioandaliwa na rais wa Caf Ahmad kuzungumzia hali ya soka barani Afrika.
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MADAKTARI AFRIKA YA NCHINI MAREKANI WAFANYA MATIBABU YA MOYO KWA WAGONJWA KWA KUWEKA KIFAA MAALUM
    Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akizungumza na waandishi wa Habari kuhus...
  • Michelle Obama aleza nia yeke ya kumsaidia Rais Mteule Donald Trump
    Wa...
  • JE, UNAFAHAMU HISTORIA YA MUADHAMA ASKOFU MKUU POLYCARP KARDINALI PENGO? SOMA HAPA
      Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...

Popular Posts

  • TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MADAKTARI AFRIKA YA NCHINI MAREKANI WAFANYA MATIBABU YA MOYO KWA WAGONJWA KWA KUWEKA KIFAA MAALUM
    TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MADAKTARI AFRIKA YA NCHINI MAREKANI WAFANYA MATIBABU YA MOYO KWA WAGONJWA KWA KUWEKA KIFAA MAALUM
    Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akizungumza na waandishi wa Habari kuhus...
  • Michelle Obama aleza nia yeke ya kumsaidia Rais Mteule Donald Trump
    Wa...
  • JE, UNAFAHAMU HISTORIA YA MUADHAMA ASKOFU MKUU POLYCARP KARDINALI PENGO? SOMA HAPA
    JE, UNAFAHAMU HISTORIA YA MUADHAMA ASKOFU MKUU POLYCARP KARDINALI PENGO? SOMA HAPA
      Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...
  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...
  • WENGI WAJIUNGA NA MFUMO WA ‘WOTE SCHEME’ WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA
    WENGI WAJIUNGA NA MFUMO WA ‘WOTE SCHEME’ WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA
      Maafisa wa Mfuko wa PPF, wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda hilo kuhusu Mfumo wa ‘Wote Scheme’ katika maonesho ya 40 ...
  • KATIBU WA BUNGE AKAGUA UKARABATI JENGO LA BUNGE
    KATIBU WA BUNGE AKAGUA UKARABATI JENGO LA BUNGE
    Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini akitoa maelezo juu ya hatua iliyofikiwa katika ufuga...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger