Meneja wa Plan Mkoani Geita, Baraka Mgohamwende akimkabidhi zawadi moja kati ya mtoto aliyefanya vizuri kwenye mashindano ya kuandika barua. |
Mratibu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Ufadhili Plan Geita, Imani Mgohamwende akielezea kuhusu kuwatambua baadhi ya watoto ambao wamefanya vizuri kwenye mashindano ya uandishi wa barua. |
Meneja wa Plan Mkoani Geita, Baraka Mgohamwende akielezea dhumuni la kutoa zawadi kwa washindi. |
Moja Kati ya vijana ambao ameshinda uandishi wa Barua akionesha moja kati ya zawadi ambazo amepatiwa na Plan. |
Shedrack Mashamba akikabidhiwa chate cha pongezi kutokana na kujitolea kwenye maswala ya Plan kwenye kata ya Nyang’uku na Meneja wa Plan mkoani Geita,Baraka Mgohamwende . |
Juma Maheka akikabidhiwa cheti cha utambuzi na Meneja wa Plan Mkoani Geita, Baraka Mgohamwende . Picha na Maduka Online. |
SHARE
No comments:
Post a Comment