Muonekano wa Banda la Kampuni ya Zurich Insurance kwa nje katika Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba mwaka huu.
Meneja wa Operesheni Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, Abdallah
Mahamba (kushoto) akimfafanulia jambo mteja wake aliyefika katika Banda
lao la Maonyesho katika Maonyesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea
kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha na
Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, wakiwa katika Banda lao la Maonyesho.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Zurich Insurance Brokers EA, wakiendelea
kutoa huduma kwa wateja wao katika Banda lao la Maonyesho.
SHARE
No comments:
Post a Comment