Rais
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na wananchi wa eneo la
Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, baada ya wananchi hao kusimamisha
msafara wake alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea
Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
Sehemu
ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam,
wakimsikiliza Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama
kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea
Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
Sehemu
ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam,
wakimshangilia Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama
kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea
Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017. PICHA NA IKULU.
SHARE
No comments:
Post a Comment