TRA

TRA

Monday, July 10, 2017

SIMANZI. WATU 16 WAPOTEZA MAISHA AJALI YA NDEGE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
Takriban watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi kwenye jimbo la Mississipi nchini Marekani.

Ajali hiyo ilitokea katika kaunti ya LeFlore karibu kilomita 160 kusini mwa mji mkuu wa jimbo hilo, Jackson.

 Watu 16 wafariki kwenye ajali ya ndege Marekani

Watu wote 16 waliokuwa ndani ya ndege hiyo waliangamia.
Ajali nane za ndege zilizokumba timu za spoti
Ndege ndefu zaidi duniani yapata ajali.

Hakuna taarifa rasmi zilizotolewa kuhusu kilichosababisha kutokea ajali hiyo. Kwa mujibu wa jarida la jimbo la Mississipi ni kuwa ndege hiyo ilianguka katika shamba moja na mabaki yake yakatabakaa mbali.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger