Walinzi wa mbuga nchini Afrika Kusini wanawatafuta simba wanne waliotoroka kutoka mbuga ya kitaifa.
Usimamizi wa mbuga hiyo sasa umewataka wenyeji kuchukua tahadhari
- Sababu ya Chui kula windo lake akiwa juu ya mti
- Simba watano watoroka mbuga Afrika Kusini
- Mwindaji aliyeua Simba aondolewa mashtaka Zimbabwe
Mbuga ya kitaifa ya Kruger ni moja ya mbuga kubwa zaidi barani Afrika ikiwa na ukubwa wa kilomita 19.485 mraba.
Kisa hiki kinatokea baada ya simba wengine watano kutoroka mbuga hiyo mwezi Mei. Wanne walipatikana lakini mmoja bado hajulikani aliko.
SHARE
No comments:
Post a Comment