Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kulia) akimueleza jambo Mtaalamu wa kujitegemea kutoka Baraza la Umoja
wa Mataifa wa Haki za Binadamu, liliopo Geneva, Switzerland Ndg.
Ikponwosa Ero, nyumbani kwake Mjini Dodoma. katikati ni katibu wa Spika,
Ndg. Said Yakubu.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akiwa na ugeni kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa lenye Makao Makuu yake
Geneva, Switzerland wakiongozwa na Ndg. Ikponwosa Ero (wa pili kushoto)
uliomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
akimsikiliza Mtaalamu wa kujitegemea kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa
wa Haki za Binadamu, Ndg. Ikponwosa Ero ,alipomtembelea nyumbani kwake
Mjini Dodoma. katikati ni katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu.
SHARE
No comments:
Post a Comment