TRA

TRA

Thursday, May 11, 2017

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
Mwenyekiti wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Upendo peneza akizungumza wakati wa  semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika jana katika Hoteli ya Dodoma Mjini.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa A. Zungu akifafanua jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge,   ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika jana katika Hoteli ya Dodoma Mjini.


Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mary Nagu akizungumza jambo katika semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge, ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika jana katika Hoteli ya Dodoma Mjini.


Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akizungumza  jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge,   ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika jana  katika Hoteli ya Dodoma Mjini.

Mjumbe wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Abdallah Ulega akifafanua jambo wakati wa  semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika jana  katika Hoteli ya Dodoma Mjini.

Mwenyekiti Mwenza, Mhe. Dkt. Raphael Chegeni akiongoza  semina ya pamoja ya iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Kamati ya Kudumu za Bunge, katika kikao kilichofanyika jana katika Hoteli ya Dodoma Mjini.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger