TRA

TRA

Monday, July 17, 2017

TRA KUANZA MSAKO MKALI NCHINI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 Kampuni ya Udalali ya Msama Auction Mart ikishirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),sambamba na Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo,wanatarajia kuanzisha msako mkali kwa wale wote wanaofanya biashara ya uharamia wa kazi za Wasanii hapa nchini.

Akizungumza na Waandishi wa habari mapema jana jijini Dar,Mkurugenzi wa Msama Auction Mart,Alex Msama alisema kuwa tayari wameishapata kibali na kupewa baraka zote za kuifanya kazi hiyo,ya kuhakikisha wizi/uharamia wa kazi za Wasanii unapungua ama kufika kikomo kabisa.

“Tayari tumepata kibali,hivyo Sisi kama kampuni tumejipanga vyema kukabiliana na hayo mapambano ya wizi wa kazi za Wasanii,tutakae mkuta anauza nyimbo za CD feki,ama anauza nyimbo za wasanii kwa kuziweka kwenye flash,kwenye simu sambamba na wale wote wanaomiliki kompyuta kwa kufanyia kazi hiyo ya kuuza nyimbo za wasanii kinyume cha sheria, tutawakamata popote pale walipo na kuwafikisha katika vyombo vya sheria”alisema Msama.

Amesema kuwa Wasanii wameibiwa vya kutosha,ifike mahali nao sasa wanufaike na jasho la kazi yao,na si kumnufaisha mtu mwingine,alisema na kuongeza kuwa Wasanii wamekuwa wakilalamika muda mrefu kuhusiana na hili jambo la kuibiwa kazi zao na kusambazwa hovyo hovyo bila utaratibu wa aina yoyote,wao kama kampuni watalibeba jukumu hilo huku wakiamini ushirikiano ndio jambo kubwa la kuifanikisha kazi hiyo  yenye changamoto kubwa.

“Tunawaomba wasanii mbalimbali na Wadau wa sanaa ya Muziki,watuunge mkono ikiwemo na kutupa ushirikiano wa taarifa,zikihusu maeneo yoyote ambako uharamia wa kazi zao unafanyika,nasi tutachukua hatua za haraka na kuwakamata wahusika”alisema Msema.

Msama alimaliza kuwa kuwapa tahadhari ya mapema kwa wale wote wanaouza kazi wasanii kinyume cha sheria,hasa katika vituo vya mabasi,nyumbani,kwenye Maduka ya biashara waache mara moja,wakipuuza wajue kabisa kiama chao kimefika.

SHULE YA FEZA YAFANYA KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato cha Sita katika Shule ya Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa na wanafunzi wenzie baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya Sanaa na Biashara atika matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU) Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam .(NA MPIGAPICHA MAALUMU) Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
SHULE YA FEZA YAFANYA KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato cha Sita katika Shule ya Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa na wanafunzi wenzie baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya Sanaa na Biashara atika matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU) Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam .(NA MPIGAPICHA MAALUMU)

Home Post Magazeti Makala Matangazo 4x4 RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA PAROKIA BIKIRA MARIA CHATO Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, leo julai 16, 2017. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Janeth Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato... Read More SHULE YA FEZA YAFANYA KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato cha Sita katika Shule ya Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa na wanafunzi wenzie baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya Sanaa na Biashara atika matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU) Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam...

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Home Post Magazeti Makala Matangazo 4x4 RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KATIKA PAROKIA BIKIRA MARIA CHATO Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, leo julai 16, 2017. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Janeth Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato... Read More SHULE YA FEZA YAFANYA KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato cha Sita katika Shule ya Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa na wanafunzi wenzie baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya Sanaa na Biashara atika matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU) Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam... Read More Ujenzi wa Barabara ya Ipembe-Msongole Kuanza Mwezi Juni Mwaka huu. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (Kulia) akipata maeleozo ya mtandao wa ramani ya barabara za Mkoa wa Songwe kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa wakati wa ziara yake ya kukagua barabara ya Ipemba hadi Msongole wilayani Ileje (50.3KM). Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (Kulia) akitoa maelekezo kwa kaimu Meneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS)Mkoa wa Songwe Eng. Yona Kasaini (Kulia) alipokagua barabara... Read More Treni ya kitalii Rovos Rail yawasili Dar es Salaam na watalii 65 KUWASILI kwa watalii 65 kwa treni inayoshikilia nafasi ya pili kwa ufahari duniani Rovos Rail, kumeendelea kuiweka Tanzania katika ramani nzuri kama sehemu salama kwa utalii na mapumziko. Akizungumza wakati wa mapokezi hayo katika kituo cha TAZARA jijini hapa, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bibi Devota Mdachi amesema fursa kama hizo zinapojtokeza ni wakati wao kuonyesha ukarimu wa watanzania. “Sisi ndio wenyeji wao lazima tuonyeshe hawakukosea kuchagua kuja Tanzania, hivyo nawaasa wananchi kuwapa mapokezi mazuri...

Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger