Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake, Rais wa Afrika
Kusini, Mhe. Jacob Zuma, wakifurahia burudani ktoka bedi ya The Kilimanjaro “Wana
Njenje, wakati wa dhifa ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia
leo Mei 12, 2017. (PICHA NA IKULU)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na
mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Mama Janeth Magufuli (Mke wa Rais),
Mama Sizakele Zuma wakwanza kulia (Mke wa Rais wa Afrika Kusini) wakati nyimbo
ya Taifa ikipigwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini
Jacob Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa hotuba katika dhifa ya
Kitaifa aliyomwandalia Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma Ikulu jijini Dar
es Salaam usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2017.
Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma akitoa hotuba yake katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na
Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma na mwenyeji wake Rais Magugfuli, wakiungana na Waziri Mkuu
Mstaafu Salim Ahmed Salim na Rais mstaafu Benjamin Mkapa, wakati wa dhifa ya
Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Magufuli, maalum kwa mgeni wake Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigongesha
girasi na mgeni wake Jacob Zuma Rais wa afrika kusini Ikulu jijini
wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Dar es salaam Mei
11,2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Jacob Zuma Rais wa
Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam Mei 11,2017
Rais
wa Afrika Kusini akihutubia katika dhifa ya kitaifa aliyoandalia na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa
ajili yake Ikulu jijini dar es salaam Mei 11,2017
SHARE
No comments:
Post a Comment