TRA

TRA

Friday, July 21, 2017

Vituko vya Ndondo Cup Kauzu FC vs Stimtosha

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Hatua ya 16 bora ya michuano ya Ndondo Cup 2017 inaendelea katika Uwanja wa Kinesi uliopo Victor Wanyama Street ambapo July 20, 2017 tulishuhudia safari ya Kauzu FC kwenye michuano hiyo ikifika mwisho baada ya kufungwa kwa penalti 4-2 dhidi ya Stimtosha.
Mgeni Rasmi katika mchezo wa Kauzu FC vs Stimtosha, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete

Mchezo huo uliingia hatua ya penalti baada ya sare ya 1-1 katika muda wa kawaida ambapo Kauzu FC wakiwa wa mwanzo kupata bao la kuongoza lililofungwa na Nahodha Geofrey Taita dakika ya 22 kabla ya Ally Kagawa kuisawazishia Stimtosha dakika ya 72.
Mgeni Rasmi Ridhiwani Kikwete akikabidhi zawadi kwa Stimtosha FC baada ya kuishinda Kauzu FC kwenye mchezo wa Ndondo Cup
Inawezekana hukufika uwanjani na umepitwa na vituko vya mashabiki mbalimbali waliojitokeza kutazama mchezo huo na ukakosa kumuona Chief wa Kauzu baada na kabla ya kufungwa.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger