Rais John Magufuli ameendelea na ziara yake mkoani Kigoma huku akizindua barabara mbalimbali na kusisitiza kuwa ataendelea kuwatumikia wananchi kama alivyoahidi.
Bila kuuma maneno Rais Magufuli aliwakumbusha wananchi umuhimu wa kufanyakazi, akisema;
"Usipofanya kazi hautakula na usipokula utakufa" alisema Rais Magufuli.
SHARE
No comments:
Post a Comment