Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, wakati alipotembelea banda la maonesho la benki hiyo wakati wa sherehe ya vyama vya ushirika yaliyofanyika kitaifa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma, Waziri Mkuu ameiagiza benki hiyo kuhakikisha inafikisha huduma za bima ya matibabu na Bima ya Mazao kwa vyama vilivyoko vijijini. Pamoja nao katika picha ni Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Charles Tizeba.
SHARE
No comments:
Post a Comment