Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akitoa maelekezo kwa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya
Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini katika
kikao kazi cha maelekezo kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao
kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili
kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Mkuu
wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zarau Mpangule, akitoa mada wakati wa kikao
kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu
Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo
vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi
hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza
kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli, ya kuwa na Tanzania isiyo na uhalifu.
Mkuu
wa Utawala wa Makao Makuu ya Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard
Paulo, akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi
nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar
es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya
kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na
uhalifu. Picha na Jeshi La Polisi
SHARE
No comments:
Post a Comment