TRA

TRA

Sunday, August 6, 2017

Marais wa Marekani na Korea Kusini wazungumza

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kusini wamezunguzma kwa njia ya simu kwa mara ya kwanza suala kuu likiwa ni majaribio ya hivi karibuni ya sialaha za nyuklia za Korea Kaskazini.

Trump amedhihirisha furaha yake alivutiwa na umoja wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati lilipounga mkono vikwazo vipya dhidi ya Pyongyang.
    RAIS DONALD TRUMP
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa waziri mkuu wa Korea Korea Kaskazini naye amefanya mazungumzo na waziri mwenziwe kutoka Korea Kusini kwenye mkutano wa masuala ya usalama nchini Philippines, na kunukuliwa akisema Souls imetoa nafasi nyingine ya mazungumzo mapya.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger