Usiku wa
kuamkia leo Kundi la Mashauzi Classic lilifanya makamuzi pamoja na Bendi
ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma kwenye Ukumbi wa Nefaland uliopo
Manzese jijini Dar.
Kwenye
onesho hilo lililoandaliwa na Bonga Promotion, mashabiki wa taarabu na
dansi kila mmoja alipata kitu roho yake inapenda. Kwa uhondo zaidi
anagalia picha.

Pedeshee Jamila Mascat, akimtakasa Prezidaa wa Ngwasuma, Patcho Mwamba baada ya kukunwa moyoni.

Mpiga tumba wa FM Academia, Kaposhoo akifanya manjonjo kwa mashabiki.

Wapenzi wa taarabu wakijimwaya.

Wazee wa Ngwasuma kazini.

Isha Mashauzi na vijana wake wakiwajibika.
SHARE
No comments:
Post a Comment