Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Ajira na Vijana)
Mhe. Antony Mavunde (katikati) akionesha ripoti ya sita ya utafiti barani
Afrika mara baada ya kuizindua leo Agosti 17, 2017.Kulia ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Sayansi toka taasisi ya Applied Research Conference in Africa
(ARCA) Prof. Joseph Mojekwu na kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Biashara Prof.
Emanuel Mjema.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi, Ajira na Vijana
Mhe. Antony Mavunde (katikati) akikata utepe kuzindua ripoti ya sita ya utafiti
barani Afrika mapema jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti wa
Kamati ya Sayansi toka taasisi ya Applied Research Conference in Africa (ARCA)
Prof. Joseph Mojekwu na kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Biashara Prof. Emanuel
Mjema.
Mkuu wa Chuo cha Biashara Prof. Emanuel Mjema akitoa
neno la utangulizi wakati wa mkutano wa sita wa watafiti barani Afrika mapema
hii jijini Dar es Salaam.
|
Mkuregenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
Prof. Egid Mubofu akitoa mada kwa baadhi ya watafiti wa barani Afrika (hawapo
pichani) wakati wa mkutano wa sita wa watafiti hao mapema hii leo jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa sita wa watafiti
barani Afrika wakiendelea na mkutano mapema jana jijini Dar es Salaam.(PICHA NA ELIPHACE MARWA – MAELEZO)
SHARE
No comments:
Post a Comment