• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Tuesday, August 15, 2017

Home > > Mvua kubwa yasababisha maafa Sierra Leone

Mvua kubwa yasababisha maafa Sierra Leone

at 12:48 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo na mafuriko katika mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, imeongezeka na kufikia zaidi ya watu mia tatu.

Inaofiwa kwamba miili zaidi iko chini ya vifusi.
Jitihada za kuokoa zilisitishwa kwa muda baada ya giza kuingia.

 Madhara yaliyosababishwa na mvua nyingi

  • Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda
  • Peru yatoa tahadhari kufuatia mvua kubwa
  • Mafuriko yasababisha shule zote kufungwa Zanzibar
Rais Ernest Bai Koroma amesema kupitia televisheni kwamba vituo vya dharura vimewekwa ili kukabiliana na kile alichokiita janga la taifa.

Shirika la Msabala mwekundu limesema inakadiriwa zaidi ya watu laki tatu wamepoteza makazi yao.

Eneo lililoathirika zaidi wilaya ya Regent iliyopo pembezoni mwa mji wa Freetown baada ya mlima uliojaa maji kuporomoka.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Mrithi wa Mugabe apelekwa Afrika Kusini
      Makamu wa rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa Mmoja ya watu wanaotarajiwa kumrithi rais Mugabe wa Zimbabwe amek...
  • RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Um...
  • MO DEWJI AMWAGA SIMBA MIL. 100 ZA USAJILI, KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI
    This...

Popular Posts

  • Mrithi wa Mugabe apelekwa Afrika Kusini
    Mrithi wa Mugabe apelekwa Afrika Kusini
      Makamu wa rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangangwa Mmoja ya watu wanaotarajiwa kumrithi rais Mugabe wa Zimbabwe amek...
  • RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
    RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitabasamu wakati Wafanyakazi wa Taasisi mbalimbali za Um...
  • MO DEWJI AMWAGA SIMBA MIL. 100 ZA USAJILI, KUTUMIA ZAIDI YA BILIONI
    This...
  • MSHINDI WA NYUMBA ATIKISA DAR, MAPOKEZI YAKE SI YA KITOTO
    Wafanyakazi wa Global Groups Ltd wakijiandaa kumpokea Mshindi wa Nyumba, George Majaba aliyewasili Dar es Salaam kutoka Dodoma.   GEORGE Ma...
  • SERIKALI IMETENGA SHILINGI BILIONI 11.4 KUBORESHA WAKALA WA NDEGE ZAKE
    SERIKALI IMETENGA SHILINGI BILIONI 11.4 KUBORESHA WAKALA WA NDEGE ZAKE
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akiongea na wajumbe wa Menejimenti ya Wakala wa Ndege za S...
  • DC MATIRO AWARUDISHA KAZINI WATUMISHI WA AFYA
    DC MATIRO AWARUDISHA KAZINI WATUMISHI WA AFYA
    Watumishi wa afya 22 katika hospitali ya Kolandoto manispaa ya Shinyanga wamerudishwa kazini na mkuu wa wilaya ya Shinyanga...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger