
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Agosti 10, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania
nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana na Katibu Mkuu wa
Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni
ya Agosti 10, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es
salaam jioni ya Agosti 10, 2017 akiwa ameongozana na Balozi wa
Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana na

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Agosti 10, 2017 akiwa kaongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza
Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana naye
SHARE
No comments:
Post a Comment