Kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.
Kikosi cha Simba.
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam ..
Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina
utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu
ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo
mbalimbali.Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo iliyopewa jina la
‘Simba Day’, wameichagua wao Wanasimba kama sehemu ya kumbukumbu ambapo
huchagizwa na mambo mengi ikiwemo kutoa misaada kwa jamii
inayowazunguka, kubadilishana mawazo, na mwisho huchezwa mechi ambayo
ndiyo huitimisha kila kitu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
SHARE
No comments:
Post a Comment