Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akiwasili Tehran kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran ambapo kwa
mujibu wa Katiba ya nchi hiyo, Rais huapishwa Bungeni na Spika. Mheshimiwa Spika
yuko Tehran kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la nchi hiyo akiwawakilisha Maspika
wa Afrika.
Mhe. Spika Job Ndugai akizungumza
na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii katika Bunge la Iran, Dkt,
Abdolreza Aziz,wakati alipotembelea Bungeni hapo kuhudhuria hafla ya kuapishwa
kwa Rais wa 12 wa Iran.
SHARE
No comments:
Post a Comment