Moja ya kikundi cha Timu ya Mauzo Tigo wakiwa katika picha ya pamoja katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea Mkoani Lindi. |
Wakati
maadhimisho haya yanafanyika mkoani Lindi kitaifa, Tigo inashiriki
kikamilifu katika maadhimisho ya Nanenane katika mikoa ya Morogoro, Mbeya, Dodoma, Arusha, Mwanza na Tabora.
Hayo yalisemwa na Meneja Mauzo wa Tigo mkoa wa Mtwara, Lilian Mwalongo kwenye maonesho hayo jana
Hii
ni sababu tosha kwa wakazi wote wa Lindi na mikoa mingine ambapo
maonyesho haya ya Nanenane yanaendelea kuwahi katika banda la Tigo na
kujinyakulia simu ili kupata nafasi ya kujishindis Zawadi tulizozitaja.
Pia
kama ilivyo kawaida yetu ya kuwajali wateja na wananchi kwa ujumla
kupitia bidhaa na Huduma zetu bora, kupitia msimu huu wa Nanenane
tunatoa ofa kabambe kuhakikisha wananchi wanaendelea kufurahia maisha ya
kidigitali. Ofa hizi ni kwa simu za kijanja aina ya Tecno S1 kwa bei ya
TZS 99,000/- na Tecno R6 kwa bei ya TZS 195,000 tu. Unaponunua simu
hizi unapata mpaka GB 3 za kuperuzi na mtandao ulioboreshwa zaidi
Tanzania.
SHARE
No comments:
Post a Comment