Bw. Wallace John
Karia,Mgombea nafasi ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF).
Msemaji
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji,
Mrakibu wa Uhamiaji Ally Mtanda akiongea na Vyombo vya Habari kuhusu
matokeo ya uchunguzi wa suala la utata wa uraia wa Bw. Wallace John
Karia, ambaye ni mgombea wa nafasi ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania, (TFF). Kutokana na pingamizi lililowekwa na Wakili Imani
Madega, mgombea mwingine wa nafasi hiyo, akilalamika kuwa uraia wa Bw.
Karia una utata. Kwa matokeo hayo Karia sasa yuko huru kuwania nafasi
hiyo.
SHARE
No comments:
Post a Comment