Kaimu Mkurugenzi Mkuu Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani akifungua mafunzo ya Huduma Kwa
Wateja yaliofanyika katika hospitali hiyo jana. Kushoto ni mtoa mada,
Elizabeth Fupe na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano katika Hospitali
hiyo, Neema Mwangomo. Wafanyakazi wametakiwa kutumia lugha nzuri wakati
wa kuwasiliana na wagonjwa pamoja na ndugu zao ili kurahisisha utuoaji
wa huduma za matibabu.
Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia mafunzo hayo yaliofanyika katika hospitali hiyo.
Wafanyakazi hao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupatiwa mafunzo hayo.
SHARE
No comments:
Post a Comment