Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
mhe. Mwigulu Nchemba (mb) kulia, akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama) muda mfupi alipowasili katika
chuo cha Polisi Moshi CCP kilichopo mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya
kuzindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi
yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati
mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa
China.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
mhe. Mwigulu Nchemba (mb) wane kulia, akiwa ameongozana na Mkuu wa Jeshi
la PolisiNchini (IGP) Simon Sirro (watatu kulia), Balozi wa China
nchini Tanzania Dkt. LU Youqing, pamoja na viongozi wengine wakielekea
kwenye eneo la uzinduzi wa ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya
wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa
wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri yaWatu
wa China.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akiweka saini mara baada ya kuwasili katika viwanja
vya chuo cha Polisi Moshi CCP mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya kuzindua
rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo
wa kuchukua wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi
unaofanywa kwa msaada wa Serikaliy a Jamhuri yaWatu wa China.
Baadhi ya maofisa na askari wa
Jeshi la Polisi wakimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon
Sirro (hayupo Pichani) wakati wa tukio la uzindua rasmi ujenzi wa
upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua
wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa
msaada wa Serikali ya Jamhuri yaWatu wa China, katika chuo cha Polisi
Moshi kilichopo mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchimhe. Mwigulu Nchemba (mb, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon
Sirro, na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing, pamoja na
viongozi wengine wakizindua rasmi ujenzi wa upanuzi wa madarasa na
mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wakuchukua wanafunzi zaidi ya mianane
(800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa msaada wa Serikali ya
Jamhuri yaWatu wa China, katika chuo cha Polisi Moshi CCP kilichopo
mkoani Kilimanjaro
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
mhe. Mwigulu Nchemba (mb), Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon
Sirro, na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing, pamoja na
viongozi wengine wakiwa katika picha baada ya kuzindua rasmi ujenzi wa
upanuzi wa madarasa na mabweni ya wanafunzi yenye uwezo wa kuchukua
wanafunzi zaidi ya mia nane (800) kwa wakati mmoja ujenzi unaofanywa kwa
msaada wa Serikali ya Jamhuri yaWatu wa China, katika Chuo cha Polisi
Moshi CCP kilichopo mkoani Kilimanjaro. Picha na Jeshi la Polisi.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment