Mkurugenzi
wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet .c.Mfuko akizima mshumaa alipokuwa
akiazimisha siku yake ya kuzaliwa iliyofanyikia katika hospitali ya
mt.Meru jijini Arusha juzi
Mkurugenzi
wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet .C.Mfuko akikata keki alipokuwa
akisherekea siku yake ya kuzaliwa iliyo fanyika katika hospitali ya
mt.Meru iliyoko jijini Arusha juzi.
Mkurugenzi
wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet Mfuko akimlisha keki mkurugenzi
mwenzake, ambae ni (mme wake) ndugu Kim Godwin Fute,alipokuwa
akiazimisha siku yake ya kuzaliwa iliyo fanyika katika hospitali ya
mt.Meru iliyoko jijini Arusha juzi.
Mkurugenzi
wa kampuni ya utalii ya Viola,Violet Mfuko akimkabidhi shuka mganga
mkuu mfawidhi wa hospital ya mt.Meru dr.Jackline Urio alipokuwa
akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa juzi.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment