TRA

TRA

Saturday, September 16, 2017

Hii ndiyo habari ya mjini

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
           Umesikia habari za ikulu ya Madale kufuka moshi? Sahau kuhusu Hamisa Mobetto na wengine, mshindi wa BBA mwaka 2013 (The Chase) Dillish Mathews ndio habari ya mjini kwa sasa.

Mrembo huyo ambaye ni raia wa nchini Namibia anadaiwa kuuingilia utamu wa Zari The Bosslady kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond. Mfahamu zaidi malkia huyo kwa picha hizi hapa chini.
         

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger