Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi. Graceana
Shirima, akizungumza katika kikao cha mafunzo kuhusu Maadili na
ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa kwa
viongozi wa Mamlaka hiyo na Ofisi ya Rais-Utumishi leo jijini Dar es
Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw.
Lambert Chialo akiwasilisha mada kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa
malalamiko ya wananchi katika utumishi wa umma kwa viongozi wa Mamlaka
ya Elimu Tanzania (TEA) yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya viongozi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakiwa katika mafunzo
kuhusu Maadili na ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma
yaliyotolewa na Ofisi ya Rais-Utumishi kwa viongozi wa Mamlaka hiyo leo
jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Meneja wa Miradi ya Elimu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Bi. Anne
Mlimuka, akichangia mada wakati wa mafunzo kuhusu Maadili na
ushughulikiaji wa malalamiko katika utumishi wa umma yaliyotolewa na
Ofisi ya Rais-Utumishi kwa viongozi wa Mamlaka hiyo leo jijini Dar es
Salaam.
SHARE








No comments:
Post a Comment