Waziri
wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Wiliam Lukuvi ambae ni
mbunge wa jimbo la Ismani (kushoto ) akishirikiana na makamu Rais
wa jumuiya ya Ismailia nchini Tanzania Kamal Khimji (kulia)
wakisaidiana kuwatwisha ndoo za maji wanawake wakazi wa Mapogolo
jimbo la Isimani wilayani Iringa wakati wa uzinduzi wa visima viwili
vya maji ya kutumia umeme wa jua (solla Power) vilivyochimbwa kwa
ufadhili wa madhehebu ya ya Shia Imami Ismailia ya Tanzania kupitia
taasisi ya kusini kwa kushirikiana na Agakhan Development Network
(ADKN) juzi kwenye vijijivya Mapogolo na Ikorongo
Waziri Lukuvi na viongozi mbali mbali wakitazama nguma ya njuga ikichezwa na watoto wa shule ya msingi Idodi |
Waziri Lukuvi akimhoji mmoja katika ya wasanii wa ngoma ya njuga |
Makamu wa Rais wa Ismailia nchini Tanzania Kamal Khimji akisalimiana na viongozi mbali mbali baada ya kuwasilia katika sherehe ya uzinduzi wa visima |
Makamu wa Rais wa Ismailia nchini Tanzania Kamal Khimji akieleza jambo |
Waziri Lukuvi akisalimiana na makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akisalimiana na makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji baada ya kuwasili kijiji cha Mapogolo jimbo la Ismani |
makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji akitoa hotuba yake |
Viongozi mbali mbali wa Ismailia na viongozi wa serikali wakisikiliza hotuba ya makamu wa Rais wa jumuiya ya Ismailia nchini |
Umati wa wananchi walioshiriki sherehe ya uzinduzi wa visima viwili vilivyotolewa msaada na Agakhan Iringa |
Viongozi wakifuatilia uzinduzi wa visima vilivyotolewa msaada na Agakhan |
Fundi wa visima hivyo akitoa maelekezo kwa viongozi mbali mbali |
Waziri Lukuvi (kushoto) na makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji wakizindua moja kati ya kisima katika kijiji cha Mapogolo |
makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji (kushoto) na waziri Lukuvi wakizindua kisima |
makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji akitoa maelekezo kwa mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza baada ya kuzindua kisima |
Waziri Lukuvi akimpongeza na makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji |
Bango la kisima cha Ikorongo likizinduliwa katika hafla hiyo |
makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji akimtwisha ndoo ya maji mwanamke mkazi wa Mapogolo baada ya kuzindua visima viwili |
Lukuvi akimtwisha maji mkazi wa Mapogolo
makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji akivishwa mgolole nguo za heshima ya kichifu kabila la wahehe kama heshima kubwa ya kusaidia jamii |
makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji akiwa katika vazi la kichifu na viongozi mbali mbali baada ya kuzawadiwa kama ahsante kwa Agakhan kusaidia jamii |
Viongozi wa chama tawala na serikali wakiwa katika picha ya pamoja na makamu wa Rais wa Jumuiya ya Ismailia nchini Kamal Khimji (picha na habari na MatukiodaimaBlog) |
TAKRIBANI watu 6000 katika jimbo la Ismani wilaya ya Iringa
mkoani Iringa wafaidika na mradi wa maji ya visima vinavyotumia
umeme wa jua (solla Power) kutoka Agakhan.
Akizungumza jana
katika kijiji cha Mapogolo kata ya Idodi wakati wa sherehe ya
uzinduzi wa visima hivyo viwili mbunge wa jimbo la Ismani Wiliam
Lukuvi ambae ni waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi
aliwashukuru wafadhili wa visima hivyo kutoka madhehebu ya
Ismailia pamoja na taasisi yao kutoka kusini iliyoshirikiana na
taasisi ya Agakhan Development Network (ADKN) kuwa amefurahishwa na
jitihada hizo.
” Nimefurahishwa na
kuona jumuiya ya Ismailia kupitia taasisi yao kutoka kusini kwa
kushirikiana na Agakhan Development Network (AKDN) walioona umuhimu wa
upatikanaji wa maji kupitia umeme wa jua na kupendekeza hiyo miradi
kwenye miradi yao mbali mbali inayoendelea na miradi mingine hapa
nchini kwenye mwaka huu wanaosherekea maadhimisho ya miaka 60 ya
mtukufu Agakhan tangu awe imamu wa madhehebu ya jumuiya ya Ismailia”
Alisema kuwa
Agakhan Development (AKDN) ni taasisi iliyoundwa na mtukufu Agakhan
kwa zaidi ya miaka mia moja imeendelea kukuza na kuboresha maendeleo
ya nchi ya Tanzania kwa kuwekeza kwenye sekta ya elimu ,kilimo na
kuboresha miundo mbinu ili kukuza uchumi na maisha bora kwa
watanzania .
Katika sherehe hiyo
ya uzinduzi wa visima viwili vitakavyohudumia wananchi wa
vijiji vya Mapogolo, na Ikorongo pia ilihudhuliwa na makamu wa
Rais wa jumuiya ya Ismailia nchini Tanzania Kamal Khimji alipata
kuhudhuria pamoja na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Iringa
wakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza .
SHARE
No comments:
Post a Comment