KUELEKEA
siku ya wanawake duniani wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water
front jijini Dar es Salaam leo wametoa msaada wa vitu mbalimbali pamoja
na fedha katika taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam
kwaajili ya kuwasaidia baadhi ya wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es
Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufika katika Taasisi
ya magonjwa ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam leo
kwaajili ya kutoa masaada wa vitu mbalimbali.
Baadhi ya vitu vilivyotolewa na wafanyazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki
ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam wakitoa vitu kwenye
gari kwaajili ya kutoa msaada katika Taasisi ya magonjwa ya Saratani
Ocean Road jijini Dar es Salaam leo.
......................................
Hata hivyo wafanyakazi wa Benki
ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam wametoa elimu kwa
wafanyakazi na wanakikundi cha 'The Great Ten'wa Kampuni ya Busines
Times jijini Dar es Salaam kuhusiana na kufungua Akaunti ya MALKIA
katika benki hiyo kwa kusherekea siku ya wanawake duniani ambayo kilele
cha maadhimisho ya siku hiyo ni Machi 8 kwa kila mwaka.
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, Adam Akaro (kulia) akizungumza
na wafanyakazi wa kampuni ya Business Times wanaounda kikundi cha 'The
Great Ten', kuhusiana na huduma wanaozitoa benki hiyo kuelekea siku ya
wanawake duniani ambayo kilele chake ni Machi 8 kwa kila mwaka.
Meneja Biashara wa
Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, Adam Akaro
(kulia) na Meneja wa huduma kwa mteja wa benki ya CRDB tawi la water
Front jijini Dar es Salaam wakiwa katika kikao na wafanyakazi wa wafanyakazi wa kampuni ya Business Times wanaounda kikundi cha 'The Great Ten'.
Mwanachama wa kikundi cha 'The Great Ten', Sebastian Sungi akifafanua jambo katika kikao kilichofanyika katika ofisi za kampuni ya Business Times wanaounda kikundi cha 'The Great Ten'. Meneja Biashara wa
Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, Adam Akaro
(kulia) na Meneja wa huduma kwa mteja wa benki ya CRDB tawi la water
Front jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kikundi cha 'The Great Ten', Grace Ndossa akichangia maada katika kikao kilichofanyika katika ofisi za kampuni ya Business Times na wanakikundi cha 'The Great Ten' walipokuwa wanazungumza na Meneja wa huduma kwa mteja wa benki ya CRDB tawi la water Front jijini Dar es Salaam wakiwa katika kikao na wafanyakazi wa wafanyakazi wa kampuni ya Business Times wanaounda kikundi cha 'The Great Ten'.
Baadhi ya wafanyakazi wa wafanyakazi wa kampuni ya Business Times wanaounda kikundi cha 'The Great Ten'.wakimsikiliza
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, Adam Akaro jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, Adam Akaro jijini Dar es Salaam leo.
SHARE
No comments:
Post a Comment