Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na
Uvuvi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo
na Uvuvi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohamed
(katikati) alipowasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, wakati wa kikao cha
siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)wengine ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa BLM
pia Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Nd,Salum Maulid Salum (kulia) na Naibu
Waziri wa Wizara hiyo Nd. Lulu Msham Abdalla.
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi alipokuwa akisoma
taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza
Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja cha Wizara hiyo
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo p ichani),akiwepo na Naibu Katibu Mkuu
Maryam Juma Abdulla Saadalla (kulia)
Baadhi
ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika kikao cha
siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza
Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja (Picha na Ikulu)
SHARE













No comments:
Post a Comment