Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amewasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe za
Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane itakayofanyika Kitaifa
mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh.Nape Moses Nnauye ,mara baada ya kuwasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa
kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane
itakayofanyika Kitaifa mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi (CCM),mara
baada ya kuwasili mkoani Lindi mchana huu tayari kwa kuhudhuria Sherehe
za Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane itakayofanyika
Kitaifa mkoani Lindi.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
SHARE
No comments:
Post a Comment