TRA

TRA

Monday, December 11, 2017

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Afisa Masoko
wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja
waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika
viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko
wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto),akiwaonyesha fomu baadhi ya wateja
waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika
viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko
wa NSSF, Salama Mbarak (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea
banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba
saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko
na UhusianoNSSF, Aisha Sango (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea
banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba
saba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wateja wakiuliza maswali iliwaweze kupata kadi ya bima ya matibabu  walipotembelea banda la Nssf wakati wa
maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wateja
wakijaza fomu kwa ajili ya kupata kadi ya bima ya matibabu walipotembelea banda
la Nssf wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba
saba jijini Dar es Salaam.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger