TRA

TRA

Sunday, January 21, 2018

MAJALIWA AHITIMISHA ZIARA YA MKOA WA MARA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


PMO_0150
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikata utepe kuzindua mabweni mawili ya Magufuli na Majaliwa katika Shule ya Sekondari ya Bumagi wilayani Butiama Januari 20, 2018.  Watatu kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0157
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiaagana na viongozi wa mkoa wa Mara kwenye uwanja wa ndege wa Musoma baada ya kukamilisha ziara ya siku saba mkoani humo Januari 21, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0226
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Butiama, Nimrod Mkono (katikati) na mkewe Marylouise   Januari 202018,kabla ya kumkabidhi mbunge huyo cheti cha shukurani kilichotolewa na wilaya ya Butiama ili kuthami mchango wake mkubwa wa kujenga na kuchangia maendeleo ya elimu wilayani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Julius Kambarage Nyerere ambacho kilichojengwa na mbunge huyo kikiwa ni sekondari na kutokana na ubora wake kilibadilishwa kuwa Chuo Kikuu.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0273
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mbuge wa Butiama, Nimrod Mkono cheti cha shukurani kilichotolewa na wilaya ya Butiama ili kuthami mchango wake mkubwa wa kujenga na kuchangia maendeleo ya elimu wilayani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Julius Kambarage Nyerere  kilichojengwa na mbunge huyo kikiwa na sekonda na kutokana na ubora wake kilibadilishwa kuwa Chuo Kikuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0910
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa  Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhungo katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kijiji cha Muragi Januari 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
PMO_0916
Wananchi wa Kijiji cha Muragi wilayani Musoma Vijijini wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara  katika kijiji  hicho  Januari  21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0996
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi na viongozi wa mkoa wa Mara katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku saba mkoani humo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkoa wa Mara mjini Msoma Januari 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_1014
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi na viongozi wa mkoa wa Mara katika kikao cha majumuisho ya ziara yake ya siku saba mkoani humo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkoa wa Mara mjini Msoma Januari 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_1077
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiaagana na viongozi wa mkoa wa Mara kwenye uwanja wa ndege wa Musoma baada ya kukamilisha ziara ya siku saba mkoani humo Januari 21, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_1152
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella  kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza alikopitia akitoka Musoma kwenda Dar es salaam Januari 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger