Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera akisalimia wananchi baada ya
kutambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (watatu kushoto)
alipowapeleka Kasesera na Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Asia Juma Abdallah
katika eneo la biashara za Machinga katika Mtaa wa Kongo, Kariakoo
jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kupata uzoefu wa namna Wilaya ya
Ilala ilivyofanikiwa katika kuboresha mazingira na kuwaweka pamoja
machinga hao katika shughuli zao. Wapili kushoto ni Katibu Tawala wa
Ilala Edward Mpogolo.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kilolo
Asia Juma Abdallah kwa Machinga wakati wa ziara hiyo
Baadhi ya kinamama wakimweleza kero Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema alipokuwa na ugeni huo
Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera akiwa katika Mtaa wa Kongo
kujionea shughuli mbalimbali zinavyoendesha na Machinga wa Kariakoo
Msafara wa Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera ukipita katika mitaa mbalimbali ya
Kariakoo kujionea shughuli mbalimbali zinavyoendesha na Machinga
Kasesera akiwa na Mwenyekiti wa Machinga wa kariakoo katika ziara hiyo
Mkuu
wa wilaya ya Iringa Richard Kasesera akitazama bidhaa za machinga
ambazo alisema hadhi ya bidhaa hizo inaonekana ni zaidi na za machinga
Kasesera akitazama sampuli ya baadhi ya vifaa vya jikoni vinavyofanya kazi ambavyo anauza Machinga
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Ricard Kasesera akihoji mfumo kwenye kompyuta
alipoingia katika Ofisi ya Umoja wa Machinga kujua wanavyofanya kazi.
Machinga
ambaye ni mtaalamu wa programu za kompyuta namoyo Yusuf, akimpa maelezo
Kasesera ya namna ambavyo Umoja wa Machinga unavyohifadhi kumbukumbu
zote za machinga katika komyupta. Kulia ni Mbunge wa Kilolo Asia Juma
akifuatilia kwa karibu
Mkuu
wa Wilaya ya Kilolo Asia Juma akimweleza jambo Ofisa katika Ofisi ya
Mkuu wa Wilaya walipokuwa kwenye ofisi hiyo ya Machinga Kariakoo

Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera na Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia
Juma wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Machinga wakati wa
ziara hiyo
Kasesera akimfurahia Ustadhi ambaye ni mmoja wa machinga Kariakoo
Kasesera akifurahia jezi la Timu ya Machinga baada ya kuzawadiwa katika ziara hiyo
Kasesera na Amina wakichagua nguo kwenye vitalu vya biashara za Machinga wakati wa ziara hiyo
Kasesera akilipa fedha baada ya kuchagua nguo alizopenda
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera akiagana na Mwenyekiti wa Machinga Stephen Lusinde mwishoni mwa ziara hiyo
Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesera akifanya majumuisho na ujumbe wake
bada ya kurudi katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akifanya utambulisho na kutoa maelezo machache kabla ya kuanza ziara hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza ofisini kwake na ujumbe huo kabla ya ziara hiyo kuanza
Kasesera akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala kabla ya ziara kuanza
Kasesera na ujumbe wake wakijiandaa kuondoka ofisi kwa Mkuu wa wilaya kuanza ziara hiyo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
SHARE
No comments:
Post a Comment