Eliamringi Mandari Meneja
Usimamizi wa Mabenki (BOT) akiwasilisha mada ya Usimamiziwa shughuli za
Mabenki na Taasisi za Fedha katika semina ya waandishi wa habari kutoka
vyombo mbalimbali inayofanyika kwenye ukumbi wa (BOT) mkoani Mtwara
ambapo wanahabari wamepata ufafanuzi mbalimbali katika masulaya ya
shughuli zinazofanywa na mabenki katika biashara ya kifedha nchini
Tanzania kwa kufuata sheria kanuni na taratibu zinazosimamiwa na Benki
Kuu ya Tanzania (BOT)
Eliamringi Mandari Meneja
Usimamizi wa Mabenki (BOT) akifafanua mambo kadhaa wakati alipokuwa
akiwasilisha mada ya Usimamizi wa shughuli za Mabenki.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada katika semina hiyo nayoendelea kwa siku ya pili leo mjini Mtwara
Kushoto ni Vick Msima Meneja
Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki na Sadiki Nyanzowa Afisa
Benki Mwandamizi Idara ya Udhamini wa Mikopo.
Bi. Zalia Mbeo Meneja Idara ya
Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) akitoa mchango wake katika semina hiyo
kuhusu mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa.
Jonson Myella Mkurugenzi Tafiti
za Uchumi (BOT) akichangia kuhusu mada ya Mabadiliko ya Mfumo mpya wa
Kuandaa sera ya Fedha, Mapitio ya Maendeleo ya Uchumi nchini, Kikanda na
Kimataifa Duniani iliyotolewa katika semina hiyo.
Dkt Suleiman Missango Meneja Msaidizi Idara ya Utafiti akifafanua baadhi ya mambo kwa waandishi wa habari wakati wa semina hiyo
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa.
Bi. Fatma Kimario Meneja Msaidizi
Idara ya Udhamini na Mikopo akitoa mada kuhusu Mifuko ya Dhamana kwa
Wajasiriamali na Dhamana za Serikali
SHARE
No comments:
Post a Comment