Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence S.Milanzi
akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi
Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Jaji Meja Jenerali Projest
A.Rwegasira akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi
Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora,Dkt.Laurian Ndumbaro
akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi
Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Waandishi mbalimbali wa Vyombo vya Habari wakifuatilia kwa umakini hafla ya kuwaapisha kwa Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,Amina H.Shaban akila kiapo
cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe
Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa
hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje,Afrika Mashariki,Kikanda na
Kimataifa,Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akila kiapo cha utii mbele ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli
na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya
kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Immaculate
Peter Ngwale akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu
Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu
Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi,Profesa
Simon S.Msanjila akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu
Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu
Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,Profesa James Epifani Mdoe
akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi
Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,James Dotto akila kiapo cha
utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe
Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa
hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria,Amon Mpanju akila kiapo cha
utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe
Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa
hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu kabla ya kuapishwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Pichani
kuliani ni Makamau wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na
Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha
Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu Ikulu jijini Dar,wa tatu kulia ni Mke wa Rais,Mama Janeth Magufuli pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Bwa.George Masaju.
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiwa amembatana na Katibu Mkuu
Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakiwasili kwenye hafla ya kuwaapisha
Makatibu Wakuu na Manaibu wao iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini
Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment