May 8 2016 klabu ya Simba ilicheza mchezo wake wa 27 wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba walikubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Mwadui FC, goli ambalo lilifungwa na Jamal Mnyate dakika ya 73 ya mchezo.
SHARE








No comments:
Post a Comment