Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi
wenzie wakisimama wakati wimbo wa Jumuiya ukipigwa wakati wa ufunguzi
wa Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 8,
2016
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na viongozi
wenzie wakiendelea na Mkutano wa 17 wa Dhraula wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
jana Septemba 8, 2016
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
Mkutano wa 17 wa Dhara\ula wa Nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 8, 2016
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia
Mkutano wa 17 wa Dharula wa Nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 8, 2016
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika
picha ya pamoja na viongozi wenzie baada ya Mkutano wa 17 wa Dharula
wa Nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam jana Septemba 8, 2016

wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli
akimsindikiza Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya Mkutano wa 17 wa
Dharula wa Nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam jana Septemba 8, 2016
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto baada ya Mkutano wa 17 wa

jijini Dar es salaam jana Septemba 8, 2016 PICHA NA IKULU
Na Ismail Ngayonga-MAELEZO Dar es Salaam
RAIS John
Pombe Magufuli amewataka Viongozi na wananchi wa Sudan Kusini
kutanguliza mbele maslahi ya nchi yao ili kusaidia kumaliza mgogoro wa
kisiasa unaondelea nchini humo.
Akizungumza
katika mkutano wa 17 wa Jumuiya hiyo jana Jijini Dar es Salaam,
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. John Pombe Magufuli alisema jumuiya hiyo inasikitishwa na mapigano
ya ghafla yaliyoibuka hivi karibuni nchini humo.
Rais
Magufuli suala la amani na usalama ni jambo umuhimu si kwa ustawi wa
maendeleo ya taifa hilo pekee bali pia kwa mustakabali wa mataifa
mengine yaliyopo ndani ya jumuiya hiyo.
Aidha
Rais Magufuli aliipongeza Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki
mwa Afrika (IGAD) inayoundwa na nchi za Eritrea, Kenya, Somalia, Sudan
Kusini, Sudan na Uganda katika jitihada zake kusuruhisha mgogoro huo.
Aidha
Rais aliipongeza nchi ya Sudan Kusini kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya
hiyo na kuwahakikishia kuwa jumuiya hiyo itatoa ushirikiano wa kutosha
katika kuhakikisha ikuwa nchi inapata amani ya kudumu ili wananchi wake
washiriki katika shughuli za maendeleo.
“Sekretarieti
ya jumuiya hiyo inaendelea na maandalizi ya kujumuisha nchi ya Sudan
Kusini katika miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na nchi
wanachama” alisema Rais Magufuli.
Kwa
upande wake, mwakilishi maalum wa Rais wa Sudan Kusini, Aggrey Tisa
Sabuni aliishukuru jumuiya hiyo kwa uamuzi wa kuikubali nchi hiyo kuwa
mwanachama mpya wa jumuiya hiyo na kuwakikishia kuwa taifa hilo
litarejeshea hali ya utulivu na usalama.
“Jaribio
la mapinduzi la mwezi julai mwaka huu limeleta athari kubwa kwa wananchi
wetu, hata hivyo tunawahakikishia kuwa tutakuwa mshirika wa kweli wa
jumuiya hii” alisema Sabuni.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment