Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii
wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC
tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya
KCMC.
Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii
wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili
ya kutoa kwa wagonjwa wa Saratani katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC.
Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika
Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha Silventi akizungumza na mabalozi
wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea kitengo hicho.
Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika
Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha Silventi akizungumza na mabalozi
wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea kitengo hicho,kulia kwake ni
Kiongozi wa Mabalozi hao kanda ya Kaskazini,Veri Njau na kushot ni
Mratibu katika kitengo hicho Everlyn Ndosi.
Kiongozi wa Kundi la Mabalozi wa
Saratani la Saratani Info kanda ya Kaskazini,Veri Njau akizungumza na
baadhi ya wagonjwa pamoja na mabalozi hao baada ya kuwatembelea katika
kituo cha Saratani ,KCMC.
Baadhi ya wagonjwa wa Saratani
wanaopatiwa matibabu katika kitengo cha Saratani ,Hospitali ya Rufaa ya
KCMC ambao kundi la Mabalozi wa ugonjwaa huo liliwatembelea na kutoa
msaada wa gharama za Bima ya Afya kwa watoto nane (8).
Mabalozi wa Ugonjwa wa Saratani wakitembelea katika maeneo mbalimbali ya kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Mmoja wa Mabalozi wa Ugonjwa wa Saratani
wa kundi la mtandao wa WhatsApp la Saratani Info ,Respicius Baitwa
akizungumza kabla ya kukabidhi fedha kwa ajili ya Bima za Afya kwa
wagonjwa wa Saratani nane wanaopata matibabu katika kituo hicho.
Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika
Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha Silventi akitoa neno la shukurani
baada ya Mabalozi wa Kundi la WhatsApp la Saratani Info kukabidhi msaada
wa fedha kwa ajili ya Bima za Afya kwa watoto nane wanaopata matibabu
katika kitengo hicho.
Baadhi ya Mabalozi wa Saratani
waliotembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC
kuwaona wagonjwa wa Saratani wanaopata matibabu katika Hospitai hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SHARE
No comments:
Post a Comment