Mwenyekiti
wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa
Dar es Salaam, Juma Luwongo (katikati), akizungumza na wajumbe wa
mkutano wa shirikisho hilo wilayani Ilala, wakati wa mkutano wao wa
kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na shirikisho hilo,
jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Shivyatiata,
Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala na kushoto ni Katibu Mwenezi wa
Shivyatiata, Ilala, Venance Mwamunyange. (Picha zote na Kassim
Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi
ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakimsikiliza Mwenyekiti wa
Shivyatiata, Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Luwongo wakati akizungumza nao
kwenye mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao
pamoja na shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni
Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala.
Baadhi
ya wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala wakisikiliza hoja na michango
mbalimbali iliyokuwa ikitolewa na baadhi wa wajumbe wenzao kwenye
mkuano huo, wa kujadili masuala mbambali yahusuyo vyama vyao pamoja na
shirikisho hilo, jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, akitoa mchango wake katika mkutano huo.
Wajumbe wakisikiliza michango na hoja mbalimbali zilizokuwa zikiolewa katika mkutano huo, wa Shivyatiata wilayani Ilala.
Katibu wa Shivyatiata, Wilaya ya Ilala, Johanes Chamushala, akifafanua jambo kwa wajumbe wa mkutano huo.
Mratibu
wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola,
akizungumza wakati akiwasilisha moja ya mada katika mkutano huo.
Wajumbe
wakimsikiliza Mratibu wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala,
Sophia Ntomola, wakati akijibu hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na
wajumbe wa mkutano huo.
Mratibu
wa Tiba Asili na Tiba Mbadala Wilaya ya Ilala, Sophia Ntomola, akijibu
hoja mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wajumbe kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili Tanzania (Shivyatiata), Mkoa wa
Dar es Salaam, Juma Luwongo (wa tatu kulia), akiwa katika picha ya
pamoja na wajumbe wa mkutano huo, wilayani Ilala, mara baada ya
kumalizika kwa mkuano huo.
No comments:
Post a Comment