TRA

TRA

Thursday, May 25, 2017

Mahojiano ya Diamond Platnumz kuhusu Ivan siku 2 kabla ya kifo

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR with Millard Ayo siku mbili zilizopita na kuzungumzia ishu mbalimbali akiwa na kundi lake la WCB kwenye kumtambulisha msanii mpya wa WCB aitwae Lavalava.
Pamoja na maswali mengine, Diamond alijibu kuhusu Mpenzi wake Zari kwenda kumjulia hali Ivan ambaye ni mzazi mwenzie ambapo japo Mashabiki wengine walionyesha kutopenda Zari kumjulia hali, Diamond alisema hana neno kabisa na Zari kwenda kumjulia hali sababu hata kama waliachana yule atabaki kuwa ni mzazi mwenzie na alifanya vizuri kwenda.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger